Bani Israeli
Qur'ani Tukufu inawatambulisha baadhi ya Mayahudi kama wapotoshaji wa maandiko ya kidini na kusema baadhi yao hata walikusudia kupotosha maneno ya Mtume (SAW) wanapomkabili.
Habari ID: 3479063 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/04
Sura za Qur'ani Tukufu /12
TEHRAN (IQNA) – Kisa cha Nabii Yusuf (AS) katika Qur’ani Tukufu kimejaa mengi kuhusu magumu ambayo aliyapitia kwa subira na imani na kufanikiwa kupata hadhi ya juu.
Habari ID: 3475421 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/24